Mathayo 27:37
Mathayo 27:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Shirikisha
Soma Mathayo 27