Mathayo 27:3
Mathayo 27:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo, Yuda, ambaye ndiye aliyemsaliti, alipoona kwamba wamekwisha mhukumu Yesu, akajuta, akawarudishia makuhani wakuu vile vipande thelathini vya fedha.
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nilikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia.
Shirikisha
Soma Mathayo 27