Mathayo 27:29
Mathayo 27:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani, wakamwekea pia mwanzi katika mkono wake wa kulia. Wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki wakisema, “Shikamoo mfalme wa Wayahudi!”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakasokota taji la miiba, wakaliweka juu ya kichwa chake, na mwanzi katika mkono wake wa kulia; wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki, wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!
Shirikisha
Soma Mathayo 27