Mathayo 27:11
Mathayo 27:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alisimamishwa mbele ya mkuu wa mkoa. Basi, mkuu wa mkoa akamwuliza, “Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamwambia, “Wewe umesema.”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu akasimama mbele ya mtawala; mtawala akamwuliza, akasema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Yesu akamwambia, Wewe wasema.
Shirikisha
Soma Mathayo 27