Mathayo 26:8-9
Mathayo 26:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Marashi haya yangaliweza kuuzwa kwa bei kubwa, maskini wakapewa hizo fedha.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanafunzi wake walipoona, wakakasirika, wakasema, Ni wa nini upotevu huu? Maana marhamu hii ingaliweza kuuzwa kwa fedha nyingi wakapewa maskini.
Shirikisha
Soma Mathayo 26