Mathayo 26:75
Mathayo 26:75 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro akakumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Basi, akatoka nje, akalia sana.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:75 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akalikumbuka lile neno la Yesu alilolisema, Kabla ya jogoo kuwika, utanikana mara tatu. Akatoka nje, akalia kwa majonzi.
Shirikisha
Soma Mathayo 26