Mathayo 26:7
Mathayo 26:7 Biblia Habari Njema (BHN)
mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia akaimimina kichwani pake alipoketi chakulani.
Shirikisha
Soma Mathayo 26