Mathayo 26:6-7
Mathayo 26:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma, mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia akaimimina kichwani pake alipoketi chakulani.
Shirikisha
Soma Mathayo 26