Mathayo 26:59 - Compare All Versions
Mathayo 26:59 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:59 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa uongo juu ya Yesu, wapate kumwua
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:59 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa uongo juu ya Yesu, wapate kumwua
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:59 NEN (Neno)
Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu ili wapate kumuua.
Shirikisha
Mathayo 26 NEN