Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:58 - Compare All Versions

Mathayo 26:58 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro alimfuata kwa mbali mpaka uani kwa kuhani mkuu, akaingia ndani pamoja na walinzi ili apate kuona mambo yatakavyokuwa.

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:58 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Petro akamfuata kwa mbali mpaka behewa ya Kuhani Mkuu, akaingia ndani, akaketi pamoja na watumishi, auone mwisho.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:58 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Petro akamfuata kwa mbali mpaka behewa ya Kuhani Mkuu, akaingia ndani, akaketi pamoja na watumishi, auone mwisho.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:58 NEN (Neno)

Lakini Petro akamfuata kwa mbali hadi uani kwa kuhani mkuu. Akaingia ndani, akaketi pamoja na walinzi ili aone litakalotukia.

Shirikisha
Mathayo 26 NEN