Mathayo 26:56
Mathayo 26:56 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini haya yote yametendeka ili maandiko ya manabii yatimie.” Kisha wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:56 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini haya yote yamekuwa, ili maandiko ya manabii yatimizwe. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.
Shirikisha
Soma Mathayo 26