Mathayo 26:53-54
Mathayo 26:53-54 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamjui kwamba ningeweza kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya vikosi kumi na viwili vya malaika? Lakini yatatimiaje Maandiko Matakatifu yasemayo kwamba ndivyo inavyopaswa kuwa?”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:53-54 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika? Yatatimizwaje basi maandiko, ya kwamba hivyo ndivyo vilivyopasa kujiri?
Shirikisha
Soma Mathayo 26