Mathayo 26:53
Mathayo 26:53 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamjui kwamba ningeweza kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya vikosi kumi na viwili vya malaika?
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:53 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
Shirikisha
Soma Mathayo 26