Mathayo 26:50
Mathayo 26:50 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwambia, “Rafiki, fanya ulichokuja kufanya.” Hapo wale watu wakaja, wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:50 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akamwambia, Rafiki, fanya ulilolijia. Wakaenda, wakanyosha mikono yao wakamkamata Yesu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26