Mathayo 26:49
Mathayo 26:49 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:49 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara akamwendea Yesu, akasema, Salamu, Rabi, akambusu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26