Mathayo 26:47
Mathayo 26:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu alipokuwa bado anasema nao, mara akaja Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili. Pamoja naye walikuja watu wengi wenye mapanga na marungu ambao walitumwa na makuhani wakuu na wazee wa watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi alipokuwa katika kusema, tazama, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili akaja, na pamoja naye kundi kubwa wenye panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani na wazee wa watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26