Mathayo 26:45-46
Mathayo 26:45-46 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akawaendea wale wanafunzi, akawaambia, “Je, mngali mmelala na kupumzika? Tazameni! Saa yenyewe imefika, na Mwana wa Mtu atatolewa kwa watu wenye dhambi. Amkeni; twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:45-46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akawajia wanafunzi wake, akawaambia, Laleni sasa, mpumzike tazama, saa imekaribia, na Mwana wa Adamu anatiwa katika mikono ya wenye dhambi. Ondokeni, twende zetu! Tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:45-46 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha akawajia wanafunzi wake, akawaambia, Laleni sasa, mpumzike tazama, saa imekaribia, na Mwana wa Adamu anatiwa katika mikono ya wenye dhambi. Ondokeni, twende zetuni! Tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Shirikisha
Soma Mathayo 26