Mathayo 26:40-41
Mathayo 26:40-41 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja? Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho inataka lakini mwili ni dhaifu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:40-41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja? Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho iko radhi, lakini mwili ni dhaifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:40-41 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja? Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26