Mathayo 26:37-38
Mathayo 26:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawachukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko. Hapo akawaambia, “Nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe pamoja nami.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:37-38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka. Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
Shirikisha
Soma Mathayo 26