Mathayo 26:36 - Compare All Versions
Mathayo 26:36 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Yesu akaenda pamoja nao bustanini Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa nami niende pale mbele kusali.”
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:36 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hata niende kule nikaombe.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hata niende kule nikaombe.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:36 NEN (Neno)
Kisha Yesu akaenda pamoja na wanafunzi wake hadi kwenye bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia, “Kaeni hapa, nami niende kule nikaombe.”
Shirikisha
Mathayo 26 NEN