Mathayo 26:29
Mathayo 26:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26