Mathayo 26:25
Mathayo 26:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabi? Akamwambia, Wewe umesema.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Yuda, ambaye ndiye aliyetaka kumsaliti, akamwuliza, “Mwalimu! Je, ni mimi?” Yesu akamjibu, “Wewe umesema.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabi? Akamwambia, Wewe umesema.
Shirikisha
Soma Mathayo 26