Mathayo 26:2
Mathayo 26:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na sikukuu ya Pasaka, na Mwana wa Mtu atatolewa ili asulubiwe.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mnajua ya kuwa baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, na Mwana wa Adamu atasalitiwa asulubiwe.
Shirikisha
Soma Mathayo 26