Mathayo 26:18
Mathayo 26:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye akawajibu, “Nendeni mjini kwa mwanamume fulani, mkamwambie: ‘Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26