Mathayo 26:15-16
Mathayo 26:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
akawaambia, “Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?” Wakamhesabia vipande thelathini vya fedha; na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha. Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi apate kumsaliti.
Shirikisha
Soma Mathayo 26