Mathayo 25:41
Mathayo 25:41 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:41 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha atawaambia na wale walioko katika mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake
Shirikisha
Soma Mathayo 25