Mathayo 25:39 - Compare All Versions
Mathayo 25:39 BHN (Biblia Habari Njema)
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’
Shirikisha
Mathayo 25 BHNMathayo 25:39 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ni lini tena tulipokuona ukiwa mgonjwa, au ukiwa kifungoni, tukakujia?
Shirikisha
Mathayo 25 SRUVMathayo 25:39 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?
Shirikisha
Mathayo 25 SUVMathayo 25:39 NEN (Neno)
Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’
Shirikisha
Mathayo 25 NEN