Mathayo 25:1
Mathayo 25:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Shirikisha
Soma Mathayo 25