Mathayo 24:43 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 24:43 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini kumbukeni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua siku mwizi atakapofika, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.
Mathayo 24:43 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Mathayo 24:43 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliujua ule wakati mwizi atakaokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Mathayo 24:43 NEN (Neno)
Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua ni wakati gani wa usiku ambao mwizi atakuja, angekesha na hangekubali nyumba yake kuvunjwa.