Mathayo 24:40 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 24:40 BHN (Biblia Habari Njema)
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Shirikisha
Mathayo 24 BHNMathayo 24:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa
Shirikisha
Mathayo 24 SUVMathayo 24:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa
Shirikisha
Mathayo 24 SRUVMathayo 24:40 NEN (Neno)
Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Shirikisha
Mathayo 24 NEN