Mathayo 24:32 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 24:32 BHN (Biblia Habari Njema)
“Kwa mtini jifunzeni mfano huu: Mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa mavuno umekaribia.
Shirikisha
Mathayo 24 BHNMathayo 24:32 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu
Shirikisha
Mathayo 24 SUVMathayo 24:32 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mnatambua ya kuwa wakati wa mavuno uko karibu
Shirikisha
Mathayo 24 SRUVMathayo 24:32 NEN (Neno)
“Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.
Shirikisha
Mathayo 24 NEN