Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 24:23 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 24:23 BHN (Biblia Habari Njema)

“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.

Shirikisha
Mathayo 24 BHN

Mathayo 24:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

Shirikisha
Mathayo 24 SUV

Mathayo 24:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

Shirikisha
Mathayo 24 SRUV

Mathayo 24:23 NEN (Neno)

Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo huyu hapa!’ au, ‘Kristo yuko kule,’ msisadiki.

Shirikisha
Mathayo 24 NEN