Mathayo 24:2 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 24:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu akawaambia, “Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”
Shirikisha
Mathayo 24 BHNMathayo 24:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa.
Shirikisha
Mathayo 24 SUVMathayo 24:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Shirikisha
Mathayo 24 SRUVMathayo 24:2 NEN (Neno)
Ndipo Yesu akawauliza, “Je, mnayaona haya yote? Amin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.”
Shirikisha
Mathayo 24 NEN