Mathayo 24:19 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 24:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Mathayo 24:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
Mathayo 24:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!