Mathayo 23:34
Mathayo 23:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana mimi ninawapelekea nyinyi manabii, watu wenye hekima na waalimu; mtawaua na kuwasulubisha baadhi yao, na wengine mtawapiga viboko katika masunagogi yenu na kuwasaka katika kila mji.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana mimi ninawapelekea nyinyi manabii, watu wenye hekima na waalimu; mtawaua na kuwasulubisha baadhi yao, na wengine mtawapiga viboko katika masunagogi yenu na kuwasaka katika kila mji.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulubisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji
Shirikisha
Soma Mathayo 23