Mathayo 23:29
Mathayo 23:29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ole wenu waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya watu wema.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wenu, Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki
Shirikisha
Soma Mathayo 23