Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 22:9 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 22:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’

Shirikisha
Mathayo 22 BHN

Mathayo 22:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini.

Shirikisha
Mathayo 22 SUV

Mathayo 22:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Nendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini.

Shirikisha
Mathayo 22 SRUV

Mathayo 22:9 NEN (Neno)

Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’

Shirikisha
Mathayo 22 NEN