Mathayo 22:6 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 22:6 BHN (Biblia Habari Njema)
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Shirikisha
Mathayo 22 BHNMathayo 22:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawatenda jeuri, na kuwaua.
Shirikisha
Mathayo 22 SUVMathayo 22:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua.
Shirikisha
Mathayo 22 SRUVMathayo 22:6 NEN (Neno)
Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Shirikisha
Mathayo 22 NEN