Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 22:44 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 22:44 BHN (Biblia Habari Njema)

‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’

Shirikisha
Mathayo 22 BHN

Mathayo 22:44 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?

Shirikisha
Mathayo 22 SUV

Mathayo 22:44 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi katika mkono wangu wa kulia, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?

Shirikisha
Mathayo 22 SRUV

Mathayo 22:44 NEN (Neno)

“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.”’

Shirikisha
Mathayo 22 NEN