Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 22:41 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 22:41 BHN (Biblia Habari Njema)

Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza

Shirikisha
Mathayo 22 BHN

Mathayo 22:41 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo?

Shirikisha
Mathayo 22 SUV

Mathayo 22:41 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mnaonaje kuhusu Kristo?

Shirikisha
Mathayo 22 SRUV

Mathayo 22:41 NEN (Neno)

Mafarisayo wakiwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza

Shirikisha
Mathayo 22 NEN