Mathayo 22:31 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 22:31 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia
Mathayo 22:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwa habari ya kiyama ya watu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema
Mathayo 22:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tena kuhusu kiyama ya wafu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema
Mathayo 22:31 NEN (Neno)
Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba