Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 22:2 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 22:2 BHN (Biblia Habari Njema)

“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi.

Shirikisha
Mathayo 22 BHN

Mathayo 22:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.

Shirikisha
Mathayo 22 SUV

Mathayo 22:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.

Shirikisha
Mathayo 22 SRUV

Mathayo 22:2 NEN (Neno)

“Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.

Shirikisha
Mathayo 22 NEN