Mathayo 21:43
Mathayo 21:43 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo nawaambieni, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine wenye kutoa matunda yake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 21