Mathayo 21:2
Mathayo 21:2 Biblia Habari Njema (BHN)
akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Shirikisha
Soma Mathayo 21