Mathayo 21:12
Mathayo 21:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu akaingia hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu ndani ya hekalu; akazipindua meza za wale waliokuwa wanavunja fedha, na viti vya wale waliokuwa wanauza njiwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao waliokuwa wakiuza njiwa
Shirikisha
Soma Mathayo 21