Mathayo 21:10-11
Mathayo 21:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?” Watu katika ule umati wakasema, “Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti mji wa Galilaya.”
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakisema, Ni nani huyu? Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 21