Mathayo 20:26-27
Mathayo 20:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote; na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu yeyote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu
Shirikisha
Soma Mathayo 20