Mathayo 20:21
Mathayo 20:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwuliza, “Unataka nini?” Huyo mama akamwambia, “Ahidi kwamba katika ufalme wako, hawa wanangu wawili watakaa mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto.”
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, Agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kulia, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.
Shirikisha
Soma Mathayo 20