Mathayo 20:2
Mathayo 20:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Shirikisha
Soma Mathayo 20