Mathayo 20:19
Mathayo 20:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Watamkabidhi kwa watu wa mataifa mengine ili adhihakiwe, apigwe viboko na kusulubiwa; lakini siku ya tatu atafufuliwa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulubisha; na siku ya tatu atafufuka.
Shirikisha
Soma Mathayo 20